Mapigo ya kihistoria dhidi ya ugaidi: PKK inatangaza kuvunja na kuweka chini silaha

Vita vya Uturuki kwa ‘mustakabali bila hofu’ vimeingia hatua muhimu – kwa muafaka wa kisiasa na umoja wa kitaifa unaimarisha juhudi nchini chini ya uongozi wa Rais Erdoğan na kiongozi wa MHP Bahceli, asema msemaji wa AK Party Omer Celik.
12 Mei, 2025
Putin yuko tayari kwa mazungumzo ya moja kwa moja na Ukraine nchini Uturuki

Putin amezipigia simu mamlaka za Kiev ili kuanza mazungumzo ya amani Alhamisi, Mei 15, jijini Istanbul.
11 Mei, 2025
Mwanafunzi wa Kituruki aliyeachiliwa Marekani awashukuru waliomuunga mkono

Rumeysa Ozturk, aliyeshikiliwa nchini Marekani kwa kuonyesha kuiunga mkono Palestina, amewashukuru walioonyesha mshikamano baada ya kuachiliwa katika kituo cha Louisiana, vyombo vya habari vimeripoti
10 Mei, 2025
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Fidan afichua alivyosalimika jaribio la kuuawa kwa sumu

Wanadiplomasia mkubwa wa Uturuki Hakan Fidan ameelezea alivyosalimika jaribio la kuuawa kupitia sumu ya zebaki na aseniki.
10 Mei, 2025

Rais wa Uturuki Erdogan awapongeza watu wa Ulaya wakati wakiadhimisha Siku ya Ulaya

Uturuki yasema ripoti ya Bunge la Ulaya “inapotosha na haina msingi”

‘Meli ya Wema’ ya pili ya Uturuki yawasili Sudan na misaada

Erdogan aashiria ushirikiano mkubwa katika masuala ya ulinzi na Marekani

Erdogan atangaza Uturuki miongoni mwa tatu bora katika teknolojia ya UAV katika tamasha la TeknoFest
4 Mei, 2025
Waandishi wa habari wasifia Ziara ya Uturuki ya mbio za baiskeli
Waandishi wa habari wa kimataifa wanaoendesha baiskeli wamesifu Ziara ya Rais wa Baiskeli ya Uturuki ya miaka 60 kama tukio la aina yake katika jukwaa la kimataifa.

3 Mei, 2025
Makubaliano ya Somalia na Uturuki kuhusu haidrokaboni njia nzuri ya matumizi ya raslimali- waziri
Waziri anayesimamia masuala ya mafuta na madini nchini Somalia anasema ana imani kuwa ushirikiano huo utathibitisha uwezo wa upatikanaji wa gesi hiyo kwa ajili ya biashara.

2 Mei, 2025
Uturuki yalaani shambulizi dhidi ya meli ya Flotilla
Ankara imekosoa shambulizi dhidi ya chombo hicho kilichokuwa kinamilikiwa na Umoja wa Uhuru wa Flotilla.

2 Mei, 2025
Maonyesho ya TeknoFest 2025 yaanza Cyprus Kaskazini
Zaidi ya watu 47,000 kutoka nchi 22 walituma maombi ya kushiriki katika mashindano ya mwaka huu.

1 Mei, 2025
Mkuu wa Mawasiliano wa Uturuki Altun aadhimisha miaka 61 ya shirika la utangazaji la TRT
Katika taarifa yake aliyoiweka kwenye mtandao wa X, Altun aliipongeza TRT, akiita “sauti ya nchi yetu na kumbukumbu ya taifa letu,” akilipongeza shirika hilo kwa kazi yake ndani ya miaka 60.

1 Mei, 2025
Ankara inataka Syria kuungwa mkono kipindi cha mpito na kuondolewa vikwazo
Wizara ya Mambo ya Nje imeonyesha mpango wa Uturuki kuelekea utulivu wa kanda, katika kupambana na ugaidi, na ushirikiano mpya na Damascus.

30 Aprili, 2025
Erdogan apongeza uhusiano imara kati ya Uturuki na Italia, aashiria shirika katika Afrika na usalama
Rais wa Uturuki Erdogan asema kuwa Uturuki iko tayari kwa miradi ya ushirikiano katika sekta za ulinzi, anga, na teknolojia ya juu, akitambua kuwa uzoefu wa Italia na uwezo wa uzalishaji wa Uturuki unaweza kuleta matokeo yanayofaidi pande zote mbili.

30 Aprili, 2025
Sekta ya utalii ya Uturuki imeweka rekodi ya kupata mapato ya dola bilioni 135 mwaka 2025
Shirika la utalii duniani linasifu ukuaji wa kimkakati wa Uturuki kwani utalii unakuza ajira, kukuza uchumi na kuimarisha madaraja ya kitamaduni.

30 Aprili, 2025
Wanasayansi wa Kituruki waunda programu inayotumia sauti kutambua saratani ya mapafu mapema
Utafiti unaonyesha programu hugundua saratani ya mapafu mapema kwa usahihi wa zaidi ya 90%.

27 Aprili, 2025
Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Hakan Fidan aelekea Qatar kwa mazungumzo kuhusu Gaza
Waziri Fidan atakutana na amir na waziri mkuu wa Qatar ili kuimarisha ushirikiano wa pande mbili na kuratibu diplomasia ya kikanda huku kukiwa na mzozo wa Gaza.



