Afrika

Polisi Tanzania wakiri kumshikilia aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji Geoffrey Mwambe

“Hatua zaidi za kisheria zinakamilishwa,”
— Taarifa ya Jeshi la Polisi.

Newstimehub

Newstimehub

12 Desemba, 2025

0b301ff956c9491c7783e572996de294f49b647f9d5ed72c408eca900b476b4f

Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kumkamata na kumshikilia aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji na Mbunge wa Masasi, Geoffrey Mwambe, kwa tuhuma za makosa ya jinai yanayochunguzwa. Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, Mwambe alikamatwa tarehe 7 Desemba 2025 katika eneo la Tegeta, wilaya ya Kinondoni, na taratibu za kisheria zinaendelea kuchukuliwa.

CHANZO: TRT Afrika