Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, Engin Firat, ameripotiwa kufariki dunia, jambo lililozua huzuni miongoni mwa mashabiki wa soka na wadau wa michezo nchini Kenya na nje ya nchi.
Firat aliwahi kuiongoza timu ya taifa ya Kenya katika mashindano mbalimbali ya kimataifa na alijulikana kwa juhudi zake za kuboresha kiwango cha soka la Kenya. Wakati wa uongozi wake, alisisitiza maendeleo ya wachezaji wa ndani na kuboresha mfumo wa timu ya taifa.
Chanzo: TRT Afrika














