Mchezaji nyota kutoka DRC anayekipiga katika Simba Sports Club amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo Machi 23, 2026.
Mchakato wa kuongeza mkataba huo umetajwa kufanikishwa na rais wa heshima wa klabu, Mohammed Dewji.
Tangu ajiunge na timu hiyo mwaka 2024, mchezaji huyo amekuwa na mchango mkubwa, akifunga mabao 29 na kutoa pasi 10 za mabao.
CHANZO: TRT Afrika














