Michezo

Shabiki maarufu wa DRC akosa visa, atakosa mechi ya kufuzu Kombe la Dunia

Lumumba Vea atalazimika kushangilia kutoka nyumbani baada ya kuzuiwa kusafiri.

Newstimehub

Newstimehub

31 Mechi, 2026

598 e1774961342709

Shabiki maarufu wa timu ya taifa ya DR Congo, Michel Kuka Mboladinga maarufu kama Lumumba Vea, atakosa kuhudhuria mechi ya kufuzu Kombe la Dunia baada ya kukosa visa ya kusafiri kwenda Mexico. DRC inatarajiwa kucheza dhidi ya Jamaica, lakini shabiki huyo atalazimika kubaki nyumbani huku akiendelea kuipa sapoti timu yake kwa mbali. Ameeleza kuwa ataendelea kuiunga mkono Leopards bila kujali umbali.

CHANZO: TRT Afrika