Somalia yarudisha msaada wa chakula ulioshikiliwa kwa WFP kufuatia mvutano na Marekani

Marekani mapema mwezi huu ilisitisha misaada yote kwa Somalia kufuatia ripoti kwamba maafisa wa eneo hilo wameshikilia chakula cha msaada kilichotolewa na wafadhili katika ghala la Shirika la Mpango wa Chakula (WFP) jijini Mogadishu.
27 Januari, 2026
Mali imewaua zaidi ya magaidi 100 katika mashambulizi ya angani

Jeshi la Mali linasema limefanya mashambulizi ya angani yaliyowaua zaidi ya magaidi 100 katika eneo la msitu katikati mwa nchi siku ya Jumapili, na kuitaja kuwa operesheni muhimu dhidi ya magaidi katika eneo hilo.
26 Januari, 2026
Zaidi ya raia wa Sudan milioni 3 warudi kwao: Umoja wa Mataifa

Raia wa Sudan zaidi ya milioni tatu waliokuwa wameondoka katika makazi yao kutokana na vita vya karibu miaka mitatu wamerudi nyumbani, shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu wahamiaji limesema siku ya Jumatatu.
26 Januari, 2026
Rais wa Nigeria Tinubu kufanya ziara Uturuki kwa mualiko wa Rais Erdogan

Ziara ya Bola Ahmed Tinubu itaangazia ushirikiano katika maeneo mbalimbali ikiwemo usalama, elimu, ustawi wa jamii, uvumbuzi, na masuala ya anga, ilisema ofisi ya rais wa Nigeria
26 Januari, 2026

Guinness yathibitisha rekodi ya mwanaharakati wa mazingira wa Kenya kukumbatia mti kwa saa 72

Jeshi la Sudan lachukua udhibiti wa maeneo muhimu kutoka kwa RSF karibu na mpaka wa Ethiopia

Ethiopia yatangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa Marburg

Sudan Kusini yaamuru kuhamishwa kwa maafisa wa UN katika kaunti tatu kabla ya opresheni ya kijeshi

Kusini mwa Afrika: Usafiri wa shule binafsi wasimamishwa kufuatia msako wa vibali baada ya ajali mbaya
26 Januari, 2026
Benki ya Dunia na Qatar kushirikiana kusambaza umeme kwa watu milioni 300 Afrika
Makubaliano pia yanajumuisha kutengeneza ajira na kusaidia nchi zilizoathiriwa na migogoro.

26 Januari, 2026
Burhan: Amani Sudan haiwezekani bila kuondolewa RSF
Burhan asema suluhu yoyote inayohusisha RSF ni kuahirisha mgogoro.

26 Januari, 2026
Macron ataka kuunda upya uhusiano wa Ufaransa na Afrika
Macron asema Ufaransa inavunja mifumo ya kiukoloni na kujenga ushirikiano mpya.

26 Januari, 2026
Marekani yaongeza msaada wa kijeshi na kijasusi kwa Nigeria
Marekani yaongeza vifaa vya kijeshi na taarifa za kijasusi kwa Nigeria.

25 Januari, 2026
Libya yaongeza uzalishaji wa mafuta hadi kiwango cha rekodi
Libya yazalisha mapipa milioni 1.37 kwa siku mwaka 2025.

25 Januari, 2026
Somalia yashukuru Uturuki kwa msaada wa usalama na kupambana na ugaidi
Waziri Mkuu Hamza Abdi Barre asema Uturuki ni mshirika wa kimkakati.

25 Januari, 2026
Wanawake waathirika wakuu wa ukatili wa vita Sudan
Wizara imerekodi zaidi ya visa 1,800 vya ubakaji hadi Oktoba 2025.

25 Januari, 2026
Uturuki na Nigeria kujadili biashara na ushirikiano wa ulinzi
Mawaziri wa mambo ya nje wa Uturuki na Nigeria watakutana kujadili biashara na ulinzi.

25 Januari, 2026
Polisi wa Kenya wanawakamata washukiwa 2 na zaidi ya Kilo 110 za meno ya tembo, mpaka wa Namanga
Watu hao wawili walikamatwa kwenye kivuko cha mpaka cha Namanga walipokuwa wakijaribu kuuza pembe hizo zinazokadiriwa kuwa dola 86,000 za Marekani.

25 Januari, 2026
Misri inaitaka Israel iondoke Gaza, na kufungua tena kivuko cha Rafah
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Badr Abdelatty ametoa wito wa Israel kuondoka Gaza, pamoja na kufunguliwa tena kwa kivuko cha mpaka cha Rafah ili kutimiza makubaliano ya mwaka jana ya kusitisha mapigano.


