Mshukuwa wa mauaji ya mgonjwa katika Hospital kuu Kenya akamatwa

Edward Maingi Ndegwa alikutwa amekufa huku koo lake ikiwa limekatwa Julai, 17. 2025. Walioshuhudia walisema mwathiriwa alikuwa ni mlemavu.
18 Julai, 2025
Serikali ya muungano Afrika Kusini hatarini baada ya mjumbe kushindwa kwenda Marekani

Washirika wakuu wa serikali ya muungano ya Afrika Kusini ANC na DA wametofautiana kuhusu namna ya kukabiliana na ushuru wa serikali ya Trump.
17 Julai, 2025
Ghana yamshtaki aliyekuwa mkuu wa shirika la kuratibu sekta ya mafuta kwa ufisadi

Taasisi ya kupambana na ufisadi nchini Ghana imemshtaki aliyekuwa mkuu wa shirika la kuratibu sekta ya mafuta na wengine sita kwa kuhusika na madai ya ufisadi wa dola milioni 28.
17 Julai, 2025
Ufaransa yawakabidhi Senegal kambi ya mwisho ya kijeshi kuashiria ukomo wao Afrika Magharibi

Kuondoka kwao kunatia ukomo wa miaka 65 wa jeshi la Ufaransa nchini Senegal baada ya Rais Bassirou Diomaye Faye kutaka Ufaransa kuondoa vikosi vyake kutoka nchini humo kufikia 2025.
17 Julai, 2025

Rwanda kutoa leseni kwa wawekezaji wapya wa madini

Rais wa Burundi kuongoza juhudi za Umoja wa Afrika kuleta amani Sahel

Jeshi la Sudan latangaza kuzuia mashambulizi ya RSF dhidi ya El-Fasher

Eswatini inasema wafungwa waliofukuzwa Marekani siyo tishio kwa umma

Viongozi wa kitamaduni Uganda wapewa zawadi ya magari
16 Julai, 2025
Hifadhi ya Kitaifa ya Maasai Mara, Kenya rasmi katika Kitabu cha Rekodi za Dunia
Kenya imetambuliwa kwa uhamiaji wa kila mwaka wa wanyamapori duniani kwa kuwa mwenyeji wa uhamiaji mkubwa zaidi na wa ajabu unaohusisha zaidi ya swala na pundamilia milioni 1.5 wanaovuka mfumo waikolojia ya Serengenti hadi Mara.

16 Julai, 2025
Wanajeshi wa Kenya wauawa katika mlipuko wa bomu iliyotegwa
Wanajeshi hao walikuwa wakishika doria kando ya barabara kati ya Kiunga na Sankuri katika wakati gari lao lilipokanyaga kilipuzi kilichokuwa kimetegwa.

16 Julai, 2025
Msumbiji imeripoti ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa mpox
Mkoa wa Kaskazini wa Niassa unaripotiwa kuathirika zaidi

16 Julai, 2025
Marekani inasema imewapeleka wahamiaji wahalifu waliofukuzwa nchini Eswatini
Mapema mwezi huu, afisa mkuu wa utawala wa Trump alisema katika kumbukumbu kwamba maafisa wa uhamiaji wa Marekani wanaweza kuwafukuza wahamiaji hadi nchi zingine isipokuwa mataifa yao asili kwa notisi ya saa sita pekee.

16 Julai, 2025
Jumuiya ya Madola yairejesha uanachama Gabon baada ya kurejea kwa siasa za uchaguzi
Jumuiya ya Madola imeondoa marufuku yake kwa Gabon, ikikaribisha kurejea kwake kwa utaratibu wa kikatiba kufuatia uchaguzi wa rais wa Aprili 12, 2025.

15 Julai, 2025
Rais wa zamani wa Nigeria Muhammadu Buhari azikwa katika eneo lake la nyumbani
Rais wa zamani wa Nigeria Muhammadu Buhari amezikwa katika eneo la nyumbani kwake katika jimbo la kaskazini mashariki la Katsina.

15 Julai, 2025
Ethiopia yawakamata washukiwa 82 wa kundi la kigaidi la Daesh
Mamlaka nchini Ethiopia zimewakamata washukiwa 82 wa kundi la kigaidi la Daesh.

15 Julai, 2025
Watu wenye silaha waua wasiopungua 27 katika jimbo la Nigeria la Plateau
Watu wenye silaha wamewaua wasiopungua 27 katika jimbo la kaskazini kati mwa Nigeria la Plateau, katika machafuko ya hivi karibuni katika eneo lisilo na usalama wa kutosha.

15 Julai, 2025
Rais wa Sudan Kusini aahidi kuboresha jeshi lake
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir alimfuta kazi mkuu wa majeshi Paul Nang Majok 7 Julai 2025, baada ya kuwa kwenye nafasi hiyo kwa miezi saba tu na kumtaja mrithi wake Dau Aturjong Nyuol.

15 Julai, 2025
Kiongozi wa zamani wa Nigeria Buhari atazikwa siku ya Jumanne, afisa anasema
Buhari alipata umaarufu mkubwa kutokana na aina yake ya siasa za kupiga vita ufisadi, hasa katika maeneo ya kaskazini mwa Nigeria yenye Waislamu wengi.



