24 Desemba, 2025

Uturuki yaendelea na uchunguzi katika eneo la ajali ya ndege iliyosababisha kifo cha mkuu wa jeshi la Libya

Operesheni za utafutaji na uchunguzi zimeimarishwa tangu alfajiri baada ya hali mbaya ya hewa kuathiri shughuli usiku.

188

24 Desemba, 2025

Uturuki yathibitisha kupatikana kwa kisanduku cheusi cha ndege iliyohusishwa na kifo cha mkuu wa jeshi la Libya

Kisanduku cheusi pamoja na kifaa cha kurekodi sauti za rubani vimepatikana kutoka katika eneo la ajali, na mchakato wa uchunguzi tayari umeanza.

187

24 Desemba, 2025

DRC yaanza tena kuuza kobalti baada ya kusitisha kwa miezi 10

“Tangu Ijumaa iliyopita, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeanza tena kuuza nje kobalti yake,” alisema Waziri wa Fedha, Doudou Fwamba.

185

24 Desemba, 2025

Haftar atoa rambirambi kufuatia kifo cha mkuu wa jeshi la Libya katika ajali ya ndege

“Tunatoa rambirambi zetu za dhati kwa familia ya marehemu na kwa wananchi wote wa Libya kufuatia msiba huu mzito,” ilieleza taarifa ya Khalifa Haftar.

184

23 Desemba, 2025

Muungano wa Sahel wazindua televisheni ya pamoja kupambana na taarifa potofu

“Televisheni ya AES ni chombo cha kimkakati cha kupambana na upotoshaji wa taarifa na kuimarisha simulizi ya kweli ya kanda ya Sahel,” ilisema taarifa ya pamoja ya muungano wa AES.

180

22 Desemba, 2025

Elon Musk avuka dola bilioni 700 na kuwa bilionea wa kwanza duniani kufikia kiwango hicho

Elon Musk ameweka historia mpya kwa kuwa mtu wa kwanza duniani kufikisha utajiri unaozidi dola bilioni 700.

174

22 Desemba, 2025

Shambulio la droni laua watu 10 katika soko la Darfur Kaskazini, Sudan

Maafisa wa uokoaji wamesema shambulio hilo limesababisha moto mkubwa katika soko la Al Harra na kuharibu mali nyingi.

168

21 Desemba, 2025

Marekani na Nigeria zasaini mkataba wa afya wenye msisitizo wa huduma za Kikristo

Marekani na Nigeria zimesaini makubaliano ya miaka mitano ya kuimarisha sekta ya afya, huku Washington ikiahidi kuchangia takriban dola bilioni 2.1.

169

21 Desemba, 2025

Somalia na Ethiopia zaimarisha mazungumzo katika maadhimisho ya Tamko la Ankara

Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha uhusiano wa pande mbili na ushirikiano wa usalama kwa misingi ya heshima ya mamlaka ya kila nchi.

170

18 Desemba, 2025

Erdogan Akutana na Familia ya Hind Rajab, Msichana Aliyeuawa Gaza

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amekutana na familia ya Hind Rajab, msichana wa Kipalestina mwenye umri wa miaka sita aliyeuawa katika shambulio la jeshi la Israel huko Gaza.

162
Inapakia...