Marekani na Israel zilipanga kumuweka madarakani rais wa zamani wa nchi hiyo Ahmadinejad

Ripoti ya gazeti la The New York Times imesema kuwa mpango wa Marekani ulikuwa ni kumuweka madarakani aliyekuwa rais wa Iran mwenye msimamo mkali Mahmoud Ahmadinejad baada ya mashambulizi yaliyomuua aliyekuwa kiongozi mkuu.
20 Mei, 2026
Mahakama ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Waziri wa Fedha wa Israel

Hati hizo, pia zinajumuisha kukamatwa kwa maofisa watatu wa kijeshi wa Israel na wanasiasa wawili.
19 Mei, 2026
Iran yatangaza bodi mpya ya kusimamia Mlango Bahari wa Hormuz

Udhibiti wa Iran wa njia hiyo ya baharini umetatiza soko la dunia na kuwapa uwezo muhimu, huku Marekani ikiweka vizuizi vyao vya baharini kwa bandari za Iran.
18 Mei, 2026
Marekani na Nigeria zafanya mashambulizi ya pamoja dhidi ya magaidi

Rais wa Nigeria Bola Tinubu alisema vikosi vya Nigeria vilishirikiana na jeshi la Marekani katika kile alichokiita operesheni ya pamoja ya ujasiri.
18 Mei, 2026

Mahakama ya ICC imeripotiwa kutoa hati za siri za kukamatwa kwa maafisa watano wa Israel

Mkutano wa Trump-Xi: Mambo makuu yanayotokana na saa 9 ya mazungumzo ya makubwa nchini China

Israel, Lebanon wakubali kuongeza muda wa usitishaji mapigano kwa siku 45: Marekani

FBI yatoa zawadi ya Dola 200,000 kwa afisa wa Zamani wa Jeshi la Marekani anayetuhumiwa kujiunga na

Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz azomewa baada ya kuzinadi sera za serikali
15 Mei, 2026
Droni za Ukraine zaua 4 Urusi
Tukio hilo linafuatia shambulio la awali lililofanywa na Urusi dhidi ya Ukraine, na kuua watu 24 huko Kiev.

14 Mei, 2026
Rais wa China asema hatoipatia Iran silaha: Trump
“Alisema hatatoa vifaa vya kijeshi. Hio ni kauli muhimu sana”, Rais Trump wa Marekani amesema baada ya kukutana na Rais Xi wa China, akiongeza kuwa China inataka kuona Mlango-Bahari wa Hormuz ukifunguliwa.

14 Mei, 2026
Xi na Trump wakubaliana kwamba ‘Mlango-Bahari wa Hormuz lazima ubaki wazi – Ikulu ya White House
Marais wa Marekani na China walifanya “mkutano mzuri,” wakijadili pia kupanua upatikanaji wa soko kwa biashara za Marekani nchini China, Msemaji wa Ikulu ya White House amesema.

14 Mei, 2026
Wapalestina kufanya uchaguzi wa rais na wabunge
Abbas na Mamlaka ya Palestina, wapo katika shinikizo kubwa kutoka kwa Marekani, Umoja wa Ulaya na Umoja wa Nchi za Kiarabu, ya kuleta mageuzi na kuendesha uchaguzi, huku taifa hilo likikabiliwa na kudumaa kwa siasa na uwepo wa tuhuma za ufisadi.

14 Mei, 2026
Hamas haipaswi kuondoka kisiasa: Balozi wa Bodi ya Amani
Nickolay Mladenov anasema kundi la upinzani la Palestina la Hamas linaweza kubaki kama kundi la kisiasa, lakini makundi yenye silaha lazima yaweke silaha chini.

13 Mei, 2026
Netanyahu amezuru UAE na kukutana na Rais wa nchi hiyo kwa siri wakati wa vita vya Iran
Tangazo kutoka Israel limekuja siku moja baada ya balozi wa Marekani Mike Huckabee kusema kuwa Israel ilipeleka mfumo wa Ulinzi wa Iron Dome pamoja na maafisa wa kuiendesha katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wakati wa vita na Iran.

13 Mei, 2026
Rais Trump wa Marekani awasili Beijing kwa mazungumzo muhimu na Rais Xi wa China
Rais wa Marekani Donald Trump ameanza ziara yake ya kwanza nchini China katika karibu muongo mmoja huku mazungumzo na Xi Jinping yakitarajiwa kujikita katika masuala ya Iran, Taiwan, ushuru wa forodha na usafirishaji wa madini adimu.

13 Mei, 2026
Taarifa za kijasusi za Marekani zaonyesha kuwa Iran bado ina uwezo mkubwa wa kurusha makombora
Tathmini ya kijasusi zinaonyesha kuwa Iran imerejesha uwezo wa kutumia sehemu nyingi za kurushia makombora, ikiwemo maeneo 30 kati ya 33 ya makombora yaliyo karibu ya Mlango-Bahari wa Hormuz.

12 Mei, 2026
Pentagon yasema vita vya Marekani dhidi ya Iran vimegharimu Dola bilioni 29 hadi sasa
Makadirio mapya ya Pentagon kuhusu gharama za vita vya Marekani yametangazwa huku gharama za Israel zikikadiriwa kuwa Dola bilioni 17.5 na Iran ambayo imepata hasara zinazokadiriwa kufikia Dola bilioni 270, inadai fidia katika mazungumzo na Marekani.

12 Mei, 2026
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki aonya dhidi ya kutumia Mlango wa Hormuz kama “silaha”
Waziri wa Mambo ya Nje Hakan Fidan anaonya kwamba usumbufu katika njia ya maji ya kimkakati utatishia utulivu wa kikanda na uchumi wa dunia.



