Kufungwa kwa Hormuz kunatishia usalama wa chakula kwa watu milioni 45: UN

Ulimwengu umezingatia zaidi athari za kiuchumi na usumbufu wa biashara ya mafuta na gesi, lakini Umoja wa Mataifa (UN) unaonya kwamba kuzuiwa kwa njia hiyo pia kunatishia usalama wa chakula duniani, hasa barani Afrika na Asia.
11 Mei, 2026
Abiria wa meli ya MV Hondius kupelekwa Uholanzi baada ya usafiri wa ndege ya Australia kusitishwa

Hii ni baada ya safari ya ndege iliyokuwa imeratibiwa kuwasafirisha abiria hao, kusitishwa.
11 Mei, 2026
Wabunge wa Ufilipino wajiandaa kumng’oa madarakani Makamu wa Rais Sara Duterte

Sara, ambaye ni binti wa rais wa zamani wa nchi hiyo Rodrigo Duterte, anakabiliwa na tuhuma za ufisadi na jaribio la kutaka kumuua mshirika wake wa zamani na kiongozi wa zamani wa taifa hilo, Ferdinand Marcos.
11 Mei, 2026
Korea Kusini yalaani mashambulizi ya meli Mlangoni Hormuz

Siku ya Jumapili, Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo ilisema kuwa mashambulizi kadhaa yalisababisha mlipuko kwenye meli ya HMM Namu inayosimamiwa na kampuni ya meli ya Korea (HMMCo).
11 Mei, 2026

Israel inawaachilia wanaharakati wawili kutoka msafara wa misaada wa Sumud wa Gaza

Meya wa Japan aliyezimia kwa muda mrefu ‘afukuzwa kazi’

Taiwan yaidhinisha Dola bilioni 25 kwa ajili ya ulinzi

Argentina yailaumu WHO ‘kuingiza siasa’ katika ugonjwa wa ‘Hantavirus’ huku maambukizi yakiongezeka

Mlipuko wa volcano waua 3 nchini Indonesia, wengine 20 hawajulikani walipo
7 Mei, 2026
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio kukutana na Papa Leo XIV
Mazungumzo hayo yanakuja wakati kukiwa na mvutano wa wazi kati ya Ikulu ya Vatican na Makao Makuu ya Kanisa Katoliki duniani.

7 Mei, 2026
Mhudumu wa Shirika la Ndege la KLM akutwa na virusi vya hanta
Kulingana na Shirika la Habari la RTL, mhudumu huyo wa ndege, anadaiwa kukutana na raia wa Kiholanzi aliyeshuka kutoka ndege ya KLM na baadaye kufariki dunia kwa ugonjwa wa hanta akiwa Afrika Kusini.

7 Mei, 2026
Iran yakana kuishambulia meli ya Korea Kusini Mlangoni mwa Bahari ya Hormuz
Katika taarifa yake iliyotolewa siku ya Alhamisi, Iran imesema kuwa haihusiki na madai ya jeshi lake kushambulia chombo hicho.

6 Mei, 2026
Iran itakubali tu “makubaliano ya haki na ya kina” na Marekani: Araghchi
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amemwambia mwenzake wa Iran kwamba China “imehuzunishwa sana” na vita hivyo na inahisi kwamba kuna haja ya kusitishwa kamili kwa mapigano.

6 Mei, 2026
Donald Trump asitisha operesheni “Project Freedom” katika Mlango-Bahari wa Hormuz kwa muda
Rais wa Marekani amesema nchi yake itasitisha kwa muda operesheni yake ya kusindikiza meli huku ikiendelea kudumisha mzingiro, akidai kuwa “hatua kubwa imepigwa kuelekea Makubaliano Kamili na ya Mwisho na Wawakilishi wa Iran.”

5 Mei, 2026
Singapore: Wanyanyasaji mashuleni kukumbwa na adhabu ya viboko
Hata hivyo, makundi ya haki za kibinadamu yameshutumu uamuzi huo wa serikali ya nchi hiyo, licha ya serikali kusisitiza kuendelea nayo.

5 Mei, 2026
Kiongozi wa genge la madawa ya kulevya ‘El Chapo’ aombwa kurudishwa Mexico
‘El Chapo’ anakumbukwa kwa kuongoza genge maarufu la Sinaloa huko Mexico, ambalo lilihusika kwa kiasi kikubwa na matukio ya kihalifu nchini humo.

5 Mei, 2026
Watu watatu wamefariki kufuatia mlipuko wa hantavirus kwenye meli ya kitalii — WHO
Shirika la Afya Duniani (WHO) limethibitisha kuwa watu watatu wamefariki dunia kufuatia mlipuko wa virusi vya hantavirus kwenye meli ya kitalii iliyokuwa ikisafiri katika Bahari ya Atlantiki.

5 Mei, 2026
Shambulio la Marekani katika Mlango-Bahari wa Hormuz laua raia 5, Iran yasema
Kulingana na vyombo vya habari vya Iran, abiria waliuawa katika shambulio hilo, Marekani hapo awali ikisema ililenga “boti ndogo za Iran zilizokuwa zikitishia usafirishaji wa kibiashara.”

4 Mei, 2026
Watu watatu wamefariki kufuatia mlipuko wa hantavirus kwenye meli ya kitalii — WHO
Shirika la Afya Duniani (WHO) limethibitisha kuwa watu watatu wamefariki dunia kufuatia mlipuko wa virusi vya hantavirus kwenye meli ya kitalii iliyokuwa ikisafiri katika Bahari ya Atlantiki.



