Somalia yaanzisha oparesheni kali dhidi ya Al Shabab kusini mwa nchi

Vikosi vya serikali na AUSSOM vyalenga kuvunja ngome za wanamgambo.
2 Mechi, 2026
Kifo cha Khamenei Kizua Hofu ya Machafuko ya Kisiasa na Kijeshi Iran

Baada ya kifo cha kiongozi mkuu wa Iran, taifa hilo linakabiliwa na hali ya sintofahamu kuhusu urithi wa madaraka na athari zake za kikanda.
1 Mechi, 2026
Mbunge wa Kenya miongoni mwa watu sita waliouawa katika ajali ya helikopta

Ajali mbaya ya helikopta imesababisha vifo vya watu sita nchini Kenya, ambapo mmoja wao ni mbunge
1 Mechi, 2026
Nigeria, Senegal, Libya wanaomba kujizuia katikati ya mashambulizi ya Marekani-Israel dhidi ya Iran

Mashambulizi ya Marekani Israel dhidi ya Iran yameibua hofu ya kutokea vurugu kubwa zaidi katika eneo hilo.
1 Mechi, 2026

Umoja wa Afrika watoa wito wa ‘kupunguzwa uhasama’ baada ya Marekani na Israel kushambulia Iran

Israel Yaanza Mashambulizi Mkubwa Dhidi ya Iran Licha ya Mazungumzo ya Kidiplomasia

Polisi Kenya wamkamata mshukiwa wa ulaghai wa ajira Urusi

Tanzania yajibu kuhusu meli iliyokamatwa na dawa za kulevya El Salvador

Nigeria Yakana Kulipa Fidia kwa Kuachiwa kwa Wanafunzi Waliotekwa na Boko Haram
25 Februari, 2026
Tunji Disu Ateuliwa Kuongoza Polisi Nigeria Baada ya Kujiuzulu kwa Egbetokun
Rais Bola Tinubu amemchagua Disu kuwa Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi, wakati taifa linakabiliwa na changamoto kubwa za usalama.

18 Februari, 2026
Wafanyabiashara wa Ghana washambuliwa Burkina Faso, manusura warejeshwa Accra
Jeshi la Anga la Ghana lawaleta waliojeruhiwa kwa matibabu.

16 Februari, 2026
Misri na Libya zakazia ushirikiano wa usalama
Haftar apokea ujumbe wa rais wa Misri katika mazungumzo ya Benghazi

2 Februari, 2026
Jeshi la Nigeria lawaua kamanda wa Boko Haram na wapiganaji 10 Sambisa
Operesheni ilifanyika msituni Sambisa, jimbo la Borno.

2 Februari, 2026
Jeshi la Somalia lawaua viongozi wa Al Shabaab katika operesheni mahsusi
Wanachama 13 wa Al Shabaab wakiwemo viongozi 5 wauawa Shabelle.

29 Januari, 2026
Milipuko na risasi zatetemesha Niamey karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa
Mashuhuda: milio ya risasi ilidumu kwa takriban saa mbili.

22 Desemba, 2025
Somalia yaongeza ulinzi kuelekea uchaguzi wa kihistoria wa serikali za mitaa
Uchaguzi huo unatajwa kuwa hatua muhimu ya kurejesha upigaji kura wa moja kwa moja na kuondoa mfumo wa zamani uliotegemea makabila.

9 Desemba, 2025
Uturuki na Hungary zasaini makubaliano mapya ya usalama na maendeleo ya kimkakati
Nchi hizo zakaribia lengo la biashara la dola bilioni 6

8 Desemba, 2025
Nigeria Yadhibiti Jaribio la Mapinduzi Benin kwa Msaada wa Kijeshi – Tinubu
Tinubu asema jeshi la Nigeria liliisaidia Benin kukabiliana na jaribio la mapinduzi

8 Desemba, 2025
Ushirikiano wa ulinzi Uturuki–Misri wazaa gari la ardhini lisilo na dereva ‘Aqrab’
Havelsan ya Uturuki na shirika la AOI la Misri wazindua magari mapya yasiyo na wahudumu—Aqrab na Hamza-1—katika maonyesho ya EDEX 2025 mjini Cairo.


