Erdogan acheza mpira wa kikapu na Shaquille O’Neal mjini Istanbul

Mchezo wa urafiki kati ya Rais Erdogan na Shaquille O’Neal uliweka tabasamu kwa vijana wa Istanbul.
21 Januari, 2026
Erdogan: Syria ni ya Wasyria, Uturuki yasifu makubaliano ya usitishaji mapigano Damascus

Syria ni ya watu wake wote — Waarabu, Waturkmeni, Wakurdi, Waalawite, Wasunni na Wadruze.
20 Januari, 2026
Erdogan: Kutokomeza ugaidi ni msingi wa amani ya Syria na eneo lote

Uturuki itaendelea kuongeza msaada wake kwa Syria katika nyanja mbalimbali, hususan mapambano dhidi ya ugaidi.
19 Januari, 2026
Uturuki yasifu makubaliano ya usitishaji mapigano na ujumuishaji kamili nchini Syria

“Syria inayohifadhi uhuru wa mipaka yake na inayojisafisha na mashirika ya kigaidi ni msingi wa amani ya kikanda.” — Burhanettin Duran.
19 Januari, 2026

Trump Amwalika Erdogan Kujiunga na Bodi ya Amani ya Gaza

Siku ya Lugha za Kituruki ya Dunia yasherehekewa Dakar, Senegal

Fidan: Israel ya Netanyahu yazidi kutengwa kidiplomasia

Mkataba wa Bahari Kuu waanza kutekelezwa, Uturuki yashiriki kuimarisha ulinzi wa bahari

Uturuki, Pakistan na Saudi Arabia wajadili mkataba mpya wa ulinzi wa kikanda
15 Januari, 2026
Uturuki yapinga vikali hatua yoyote ya kijeshi dhidi ya Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema matatizo ya kiuchumi ya Iran yanatokana na vikwazo vilivyowekwa dhidi ya nchi hiyo, na kwamba Iran kutatua matatizo na “baadhi ya wadau” kuntanufaisha pia Uturuki.

15 Januari, 2026
Tahadhari ya bomu: Ndege ya Turkish Airlines yatua salama Barcelona
Taratibu za usalama zilianzishwa mara moja ndani ya ndege kwa mujibu wa kanuni za usalama wa anga.

15 Januari, 2026
Uturuki na UAE zajadili kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia Abu Dhabi
Fidan alikutana na Rais wa UAE Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan kujadili uhusiano wa pande mbili.

15 Januari, 2026
Uturuki na Iran wazidisha mawasiliano kupunguza mvutano wa kikanda
Mazungumzo ndiyo njia bora ya kupunguza mvutano wa kikanda.

14 Januari, 2026
Somalia na Türkiye waanza utekelezaji wa makubaliano ya ajira na sera za kijamii
Tunataka ushirikiano huu uzalishe matokeo ya vitendo.

14 Januari, 2026
Mashambulio ya risasi Ethiopia: Watalii wawili wa Kituruki wauawa, uchunguzi waanza
“Miili ya marehemu inasafirishwa Istanbul kwa heshima ya mwisho.”

13 Januari, 2026
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Aungana na Mazungumzo ya Awamu ya Pili ya Mpango wa Amani Gaza
Mazungumzo hayo yaliwaleta pamoja maafisa kutoka Marekani, Misri na Qatar kujadili hatua zinazofuata.

12 Januari, 2026
Uturuki yaonya dhidi ya uingiliaji wa nje nchini Iran, yatoa wito wa suluhu za ndani
Uturuki imeonya kuwa uingiliaji wowote wa nje katika nchi jirani ya Iran utaongeza na kuzidisha migogoro, si tu nchini humo bali pia katika eneo lote.

10 Januari, 2026
Uturuki yaitaka YPG kutekeleza makubaliano ya Machi 10 ili kurejesha utulivu Syria
Makubaliano hayawezi kubaki kwenye karatasi; lazima yatekelezwe kwa vitendo.

6 Januari, 2026
Erdogan kwa Trump: Venezuela isiingizwe katika hali ya kutokuwa na usalama
Rais wa Uturuki ameeleza msimamo wa Uturuki kuwaunga mkono “watu wa Venezuela marafiki katika kupambania mafanikio, amani, na ustawi.”



