24 Desemba, 2025

Uturuki yaendelea na uchunguzi katika eneo la ajali ya ndege iliyosababisha kifo cha mkuu wa jeshi la Libya

Operesheni za utafutaji na uchunguzi zimeimarishwa tangu alfajiri baada ya hali mbaya ya hewa kuathiri shughuli usiku.

188

24 Desemba, 2025

Ubalozi wa Uturuki watoa pole kufuatia kifo cha mkuu wa jeshi la Libya

Tumepokea kwa huzuni kubwa taarifa za vifo vya mkuu wa jeshi na maafisa wengine waliokuwa pamoja naye katika ajali hiyo.

189

24 Desemba, 2025

Uturuki yathibitisha kupatikana kwa kisanduku cheusi cha ndege iliyohusishwa na kifo cha mkuu wa jeshi la Libya

Kisanduku cheusi pamoja na kifaa cha kurekodi sauti za rubani vimepatikana kutoka katika eneo la ajali, na mchakato wa uchunguzi tayari umeanza.

187

23 Desemba, 2025

Shirika la Uturuki la TİKA laanzisha mradi Msumbiji kuwawezesha wanawake waliokumbwa na vurugu

Mradi huu unalenga kuwapa wanawake walionusurika vurugu fursa ya kujitegemea kiuchumi na kurejea kikamilifu katika maisha ya kijamii.

183

22 Desemba, 2025

Uturuki yatilia mkazo ushirikiano wa kijeshi na usalama na mataifa ya Afrika

Kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na mataifa ya Afrika ni sehemu ya mkakati wa muda mrefu wa kuchangia amani na uthabiti wa bara hilo.

182

22 Desemba, 2025

Mabalozi wa Uturuki barani Afrika watembelea Jumba la Utamaduni wa Afrika mjini Ankara

Mabalozi wa Uturuki wanaohudumu barani Afrika walitembelea Jumba la Utamaduni wa Afrika mjini Ankara kama sehemu ya Kongamano la Mabalozi.

172

22 Desemba, 2025

Mauzo ya nje ya bidhaa za ulinzi za Uturuki yaongezeka kwa asilimia 30 katika miezi 11

Mauzo ya nje ya bidhaa za ulinzi na anga ya Uturuki yameongezeka kwa asilimia 30 katika miezi 11 iliyopita, yakifikia dola bilioni 7.45.

171

18 Desemba, 2025

Erdogan Akutana na Familia ya Hind Rajab, Msichana Aliyeuawa Gaza

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amekutana na familia ya Hind Rajab, msichana wa Kipalestina mwenye umri wa miaka sita aliyeuawa katika shambulio la jeshi la Israel huko Gaza.

162

18 Desemba, 2025

Fidan Aonya Uhasama Bahari Nyeusi Unaweza Kutatiza Ulaya

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan, ameonya kuwa kuongezeka kwa uhasama kati ya Urusi na Ukraine katika Bahari Nyeusi kunaweza kuhatarisha usalama wa bara la Ulaya.

151

18 Desemba, 2025

Vyuo Vikuu Sita vya Uturuki Vyaingia 100 Bora GreenMetric 2025

Vyuo vikuu sita vya Uturuki vimeorodheshwa miongoni mwa taasisi 100 bora duniani kwa uendelevu katika viwango vya UI GreenMetric 2025.

148
Inapakia...