Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, amekanusha madai ya uhalifu baada ya kukimbilia mafichoni kufuatia uvamizi wa makazi yake. Akiita uchaguzi wa wiki iliyopita “wizi wa waziwazi”, Wine amesema anaendelea kujificha akiwa na ulinzi wa raia wa kawaida.
CHANZO: TRT Afrika














