Rais wa Kenya, William Ruto, ametangaza kuwa serikali yake imekamilisha makubaliano mapya ya biashara na China. Kauli hiyo alitoa wakati wa mkutano wa uwekezaji uliofanyika Nairobi.
Makubaliano hayo yanatarajiwa kutoa fursa kwa bidhaa nyingi za Kenya kuingia katika soko la China bila ushuru, hatua inayolenga kukuza biashara na uchumi wa taifa hilo.
CHANZO: TRT Afrika














