Katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya UEFA Champions League, Bayern Munich waliibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Real Madrid.
Mabao ya Bayern yalifungwa na Harry Kane na Luis Díaz, huku Kylian Mbappé akiifungia Real Madrid bao la kufutia machozi. Matokeo hayo yanaifanya Bayern kuwa na nafasi nzuri kuelekea mkondo wa pili.
CHANZO: TRT Afrika














