Tanzania Yakata Onyo la Kuongezeka kwa Mafua na Uviko-19

Wizara ya Afya inasema wagonjwa wengi ni wa hali hafifu, lakini wazee na wagonjwa wenye magonjwa sugu wako hatarini zaidi.
25 Februari, 2026
Nigeria Yakana Kulipa Fidia kwa Kuachiwa kwa Wanafunzi Waliotekwa na Boko Haram

Serikali yasema kuokolewa kwa zaidi ya watu 200 kulitokana na operesheni za kiusalama, si malipo ya fedha.
25 Februari, 2026
Zimbabwe Yakataa Msaada wa Afya wa Dola Milioni 367 Kutoka Marekani

Serikali yasema makubaliano yaliyopendekezwa yaligusa masuala ya uhuru wa taifa na udhibiti wa taarifa za afya.
25 Februari, 2026
Katibu Mkuu wa NDC Akamatwa Zambia kwa Tuhuma za Picha ya Rais Iliyohaririwa

Polisi Zambia waanzisha uchunguzi baada ya picha ya mtandaoni kudaiwa kusababisha taharuki.
25 Februari, 2026

Umoja wa Mataifa Waweka Vikwazo kwa Makamanda wa RSF Nchini Sudan

Ukame Mkali Somalia Waacha Mamilioni Wakikabiliwa na Njaa

Cameroon Yatetea Kifo cha Mwanasiasa wa Upinzani Ekane Kama Cha Asili

Tunji Disu Ateuliwa Kuongoza Polisi Nigeria Baada ya Kujiuzulu kwa Egbetokun

Moto katika uwanja wa ndege wa Cape Town nchini Afrika Kusini wasitisha safari kadhaa
24 Februari, 2026
Msemaji wa M23, Willy Ngoma, auawa katika shambulio la droni mashariki mwa DRC
Msemaji wa kundi la waasi la M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Willy Ngoma, ameuawa katika shambulizi la ndege zisizo na rubani mashariki mwa DRC siku ya Jumanne.

24 Februari, 2026
Uharibifu mkubwa Chuo Kikuu cha Kordofan Sudan baada ya shambulizi la anga la RSF
Makundi ya kutetea haki za binadamu yanasema kushambulia taasisi za elimu ni ukiukaji wa sheria za kimataifa

24 Februari, 2026
Afrika Kusini kubatilisha viza 2,000 zilizopatikana kwa njia isiyo sahihi baaada ya uchunguzi
Ripoti imeonesha mfumo wa uhamiaji wa Afrika Kusini umetumiwa vibaya kwa miaka na kundi la maafisa wachache ambao wamejitajirisha kwa kupokea malipo kwa kutoa viza.

23 Februari, 2026
Rais Sisi wa Misri awasili Saudi Arabia kwa ‘ziara ya kindugu’
Rais wa Misri alipokelewa na mwanamfalme wa Saudia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa King Abdulaziz mjini Jeddah.

23 Februari, 2026
Mpaka wa Burundi na DRC wafunguliwa tena baada ya kufungwa kwa miezi miwili
Mpaka wa Kavimvira–Gatumba ni eneo la kimkakati linalounganisha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na mji mkuu wa kibiashara wa Burundi, Bujumbura.

23 Februari, 2026
AU inataka kuchukuliwa kwa ‘hatua za pamoja’ baada ya watu zaidi ya arobaini kuuawa nchini Nigeria
Shambulio la Zamfara ambalo ni la hivi karibuni katika mfululizo wa matukio ya vurugu ambayo yameonyesha changamoto za usalama nchini Nigeria.

23 Februari, 2026
Mafuriko makubwa Maniema yaacha maelfu bila makazi
Zaidi ya familia 2,500 zimeathirika baada ya mito kufurika na kuharibu vijiji mashariki mwa DRC.

22 Februari, 2026
Tume ya Rais kuhusu ghasia za baada ya uchaguzi Tanzania yaongezewa siku 42 kuhitimisha uchunguzi
Muda huo wa nyongeza unalenga kuiruhusu tume hiyo kukamilisha ukusanyaji na uchambuzi wa ushahidi unaohusishwa na fujo zilizozuka katika maeneo kadhaa ya nchi wakati na baada ya upigaji kura.

22 Februari, 2026
Kwa nini ushirikiano wa Uturuki na Ethiopia wa miaka 100 ni muhimu katika njia panda za kimkakati
Ushindani wa mataifa yenye nguvu kubwa unapozidi kuongezeka katika ukanda wa Bahari Nyekundu, ziara ya Erdogan nchini Ethiopia inaangazia jitihada za Uturuki za kuchagiza utulivu, usalama wa baharini na utaratibu wa kanda nyingi zaidi.

22 Februari, 2026
Vita ya Sudan: WHO inasema mashambulizi dhidi ya vituo vya afya yaliua 69 mwaka huu
Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema siku 50 za kwanza za 2026 zimeshuhudia mashambulizi matano dhidi ya huduma za afya nchini Sudan, na kuua watu 69.




