Libya yaomboleza kifo cha mkuu wa jeshi katika ajali ya ndege

Libya imeanza maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha mkuu wa majeshi katika ajali ya ndege nchini Uturuki.
28 Desemba, 2025
Umoja wa Ulaya wataka mamlaka na umoja wa Somalia kuheshimiwa kufuatia uamuzi wa Israel kuhusu Somaliland

Umoja wa Ulaya umesisitiza kuwa uhuru, umoja wa kitaifa na uadilifu wa mipaka ya Somalia lazima viheshimiwe.
28 Desemba, 2025
Uingereza: Angola na Namibia zakubali kupokea wahamiaji waliorejeshwa

Angola na Namibia zimekubali kupokea wahamiaji waliorejeshwa baada ya Uingereza kutishia kuweka vikwazo vya viza.
28 Desemba, 2025
Zaidi ya Raia 200 Wauawa Darfur katika Mashambulizi ya Kikabila

Zaidi ya raia 200, wakiwemo wanawake na watoto, wameuawa katika mashambulizi ya kikabila katika maeneo ya Darfur,” ilisema taarifa ya Madaktari wa Sudan.
28 Desemba, 2025

Nchi za Kanda Zasimama na Somalia Kufuatia Israel Kutambua Somaliland

Wakazi wa Nigeria Wadai Mashambulizi ya Marekani Yaligonga Maeneo Yasiyo na Daesh

Jumuiya ya Kimataifa Yaunga Mkono Somalia Baada ya Israel Kutambua Somaliland

Palestina Yakosoa Vikali Hatua ya Israel ya Kutambua Somaliland

AU na Jumuiya ya Waarabu Zapinga Hatua ya Israel Kuhusu Somaliland
27 Desemba, 2025
Somalia Yakemea Vikali Uamuzi wa Israel Kuhusu Somaliland
Somalia inakataa kabisa na bila mashaka utambuzi haramu wa Israel kwa Somaliland.

26 Desemba, 2025
Uturuki Yakosoa Vikali Hatua ya Israel ya Kutambua Somaliland
Utambuzi wa Somaliland ni uvunjaji wazi wa sheria za kimataifa na kuingilia masuala ya ndani ya Somalia.

26 Desemba, 2025
Mapigano Darfur Kaskazini: Vikosi washirika vya jeshi la Sudan vyazuia mashambulizi ya RSF
“Vikosi vyetu vilifanikiwa kuzuia mashambulizi ya RSF na kuwalazimisha kurudi nyuma baada ya mapigano makali,” ilisema taarifa ya vikosi washirika vya jeshi la Sudan.

26 Desemba, 2025
Somalia yasifu msaada wa Uturuki katika kufanikisha uchaguzi wa kihistoria Mogadishu
Msaada wa Uturuki umehakikisha usalama wa uchaguzi Mogadishu.

26 Desemba, 2025
Nigeria yathibitisha mashambulizi ya Marekani dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh
Rais wa Marekani amesema nchi yake ilifanya mashambulizi mengi yaliyolenga shabaha dhidi ya Daesh nchini Nigeria.

25 Desemba, 2025
Polisi akataa rushwa ya dola $50,000 katika uwanja wa ndege nchini Zambia
Tume ya Kupambana na Rushwa ya Zambia (ACC) imempongeza polisi wa kike aliyekataa rushwa ya dola $50,000 kutoka kwa mshukiwa wa utakatishaji fedha katika uwanja wa ndege mji mkuu wa Lusaka.

25 Desemba, 2025
Uturuki, Libya kufanya uchunguzi wa pamoja wa ajali ya ndege iliyomuua mkuu wa majeshi, wengine saba
Mkuu wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai ya Libya na ujumbe wake, walitembelea Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Ankara Alhamisi, huku uchunguzi wa pamoja wa ajali ya Jumanne ya ndege ukiendelea.

25 Desemba, 2025
Waendesha mashtaka Uturuki kufanya uchunguzi wa kina kuhusu ajali ya ndege ya Libya Ankara
Uturuki pia itaangazia hali ya rubani, ubora wa kiufundi, rekodi za ndege, ikiwemo vipuri.

25 Desemba, 2025
Wakazi wa Mogadishu wapiga kura kuchagua viongozi wa mitaa
Kupiga kura moja kwa moja kunarejesha sauti ya raia katika uamuzi wa uongozi wa maeneo yao.

25 Desemba, 2025
Helikopta ya Uokoaji Yaanguka Mlima Kilimanjaro
“Ajali hii imetokea wakati helikopta ikiwa kwenye misheni ya kuokoa maisha ya binadamu, tukio linalosikitisha sana,” alisema Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa.


