23 Mechi, 2026

Kenya yakumbwa na mafuriko makubwa, watu 81 wafariki

Mvua kubwa na upepo mkali waacha maelfu bila makazi.

571

22 Mechi, 2026

Afrika yatoa ushirikiano wa maendeleo kwa mataifa ya Amerika ya Kusini na Karibia

Hayo yamesemwa na rais wa Umoja wa Afrika kwa mwaka 2026, Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye Jumamosi katika Mkutano wa 10 wa Jumuiya ya Mataifa ya Amerika ya Kusini na Karibi CELAC, uliofanyika Bogota, Colombia.

2026 03 21t132641z 399961472 rc219kasnyjb rtrmadp 3 celac colombia

22 Mechi, 2026

Tanzania yajiandaa na athari za mgogoro wa Mashariki ya Kati, yataka diplomasia itumike

Amesisitiza kuwa suluhisho la kudumu ni mazungumzo ya kidiplomasia ili kuepusha athari kubwa zaidi kwa uchumi wa dunia.

bfc72b3939233db6389d82910744cc8954f478550f98d5a7bf3462a5f80b7663

22 Mechi, 2026

Wakenya waliohamishwa kutoka Iran wawasili nyumbani

Raia hao ambao walikuwa wanaishi nchini Iran, walipitia nchini Uturuki kabla ya kuwasili Kenya.

5864452bf6eea85de982345ec0f2d4afc80b982692a562413d4da498a0801e81

22 Mechi, 2026

Madagascar yapewa Kituo cha kukabiliana na Dharura

Msaada huu unakuja wakati ambapo Madagascar inakabiliwa na hali ngumu ya mlipuko wa Mpox na athari za kimbunga

5d982c59bd80837b83826949e33f82b489539b2b0e196aea5703365e1cf21589

22 Mechi, 2026

Bandari ya Mangapwani, Zanzibar kufungua fursa za uchumi

Mwenyekiti wa Kampuni ya China Harbour Engineering Company Limited, amemuhakikishia Rais Mwinyi kuwa kampuni hiyo inaendelea na ujenzi kwa kasi huku ikizingatia viwango vya ubora.

cab6d159c0f3d1ead26831a235c9af6a78bca63985f15563e84ac4f2a9aea432

22 Mechi, 2026

Rais wa DRC anataka kufufua Shirika la Ndege la Congo Airways

Baada ya kusimamisha ndege zake zote kutokana na wasiwasi wa usalama, Congo Airways imetegemea ndege za kukodishwa ambazo zina gharama kubwa.

37f330392a2d3affcbef764a85b3ed72902bfe7f6b0d3e4c150546553fd33674

21 Mechi, 2026

Sudan Kusini yaiomba Afrika Kusini msaada wa vifaa vya kupigia kura kuelekea uchaguzi Disemba 2026

Sudan inapanga kufanya Uchaguzi Mkuu Disemba 2026

9b80e4269d7dd70ef23983378638a45f4308311e0561b5ebf97a7e5c562b7c32

21 Mechi, 2026

Kenya na Uganda kwa pamoja wazindua mradi wa reli ya kisasa-SGR

Mpango wa upanuzi wa reli hadi mpaka wa Uganda ulikuwa umesimama kwa zaidi ya miaka 6 kutokana na matatizo ya kifedha na ufadhili.

5926e51325f0e550cb0475818e27480f5a4e931428ab4776485fb8297d86e366

21 Mechi, 2026

Visiwa vya Bahari Hindi Afrika vyaathirika na vita vya Iran: Ripoti

Iran ilirusha makombora ya balistiki mawili kuelekea kwenye kambi ya pamoja ya Marekani na Uingereza katika visiwa vya Chagos, Mauritius, takriban kilomita 4,000 kutoka Iran.

gettyimages 1354445433
Inapakia...