Jeshi la Sudan latangaza kuzuia mashambulizi ya RSF dhidi ya El-Fasher

Wanajeshi wanaripoti makabiliano makali na wapiganaji wa RSF, huku makombora kwenye kambi ya wakimbizi yakiwaua raia 8, kulingana na chanzo cha matibabu.
17 Julai, 2025
Eswatini inasema wafungwa waliofukuzwa Marekani siyo tishio kwa umma

Serikali ya Eswatini imethibitisha kuwa wafungwa watano waliofukuzwa Marekani wamewasili katika nchi hiyo, ikisema hawana hatari yoyote kwa raia wao.
16 Julai, 2025
Viongozi wa kitamaduni Uganda wapewa zawadi ya magari

Kampeni nchini Uganda zimeanza huku rais wa sasa Yoweri Museveni akigombea tena kiti cha urais, na viongozi wa kitamaduni wamekuwa mawakala muhimu katika uhamasihaji wa kura.
16 Julai, 2025
Hifadhi ya Kitaifa ya Maasai Mara, Kenya rasmi katika Kitabu cha Rekodi za Dunia

Kenya imetambuliwa kwa uhamiaji wa kila mwaka wa wanyamapori duniani kwa kuwa mwenyeji wa uhamiaji mkubwa zaidi na wa ajabu unaohusisha zaidi ya swala na pundamilia milioni 1.5 wanaovuka mfumo waikolojia ya Serengenti hadi Mara.
16 Julai, 2025

Wanajeshi wa Kenya wauawa katika mlipuko wa bomu iliyotegwa

Msumbiji imeripoti ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa mpox

Marekani inasema imewapeleka wahamiaji wahalifu waliofukuzwa nchini Eswatini

Jumuiya ya Madola yairejesha uanachama Gabon baada ya kurejea kwa siasa za uchaguzi

Rais wa zamani wa Nigeria Muhammadu Buhari azikwa katika eneo lake la nyumbani
15 Julai, 2025
Ethiopia yawakamata washukiwa 82 wa kundi la kigaidi la Daesh
Mamlaka nchini Ethiopia zimewakamata washukiwa 82 wa kundi la kigaidi la Daesh.

15 Julai, 2025
Watu wenye silaha waua wasiopungua 27 katika jimbo la Nigeria la Plateau
Watu wenye silaha wamewaua wasiopungua 27 katika jimbo la kaskazini kati mwa Nigeria la Plateau, katika machafuko ya hivi karibuni katika eneo lisilo na usalama wa kutosha.

15 Julai, 2025
Rais wa Sudan Kusini aahidi kuboresha jeshi lake
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir alimfuta kazi mkuu wa majeshi Paul Nang Majok 7 Julai 2025, baada ya kuwa kwenye nafasi hiyo kwa miezi saba tu na kumtaja mrithi wake Dau Aturjong Nyuol.

15 Julai, 2025
Kiongozi wa zamani wa Nigeria Buhari atazikwa siku ya Jumanne, afisa anasema
Buhari alipata umaarufu mkubwa kutokana na aina yake ya siasa za kupiga vita ufisadi, hasa katika maeneo ya kaskazini mwa Nigeria yenye Waislamu wengi.

15 Julai, 2025
Zaidi ya wahamiaji 100 waachiliwa huru nchini Libya baada ya kutekwa na genge la majambazi
Zaidi ya wahamiaji 100 wameachiliwa kutoka utumwani baada ya kushikiliwa na genge moja mashariki mwa Libya ili kulipia fidia, mwanasheria mkuu wa nchi hiyo amesema.

14 Julai, 2025
Malawi yaanza kampeni rasmi kwa uchaguzi wa Septemba 16
Muda rasmi wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Malawi Septemba 16 umezinduliwa siku ya Jumatatu, huku kukiwa na hofu ya kisiasa katika nchi hiyo.

14 Julai, 2025
Mji wa kaskazini anakotoka Buhari unajiandaa kwa mazishi ya kiongozi huyo wa Nigeria
Maandalizi yameendelea siku ya Jumatatu eneo la Daura, katika mji wa kaskazini alikotoka aliyekuwa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari kwa ajili ya mazishi yake.

14 Julai, 2025
Nigeria yatangaza siku ya Jumanne, Jula 15 sikukuu ya kitaifa kumuenzi Buhari
Serikali ya Nigeria imetangaza siku ya Jumanne, Julai 15 sikukuu ya kitaifa kumuenzi aliyekuwa Rais wa nchi hiyo ambaye amefariki dunia Muhammadu Buhari.

14 Julai, 2025
Upinzani Kenya yatishia kumrudisha Rais Ruto ICC
Vitisho vya upinzani kumrudisha Rais Ruto katika Mahakama ya Kimatifa ya Uhalifu vinakuja baada ya rais huyo kutoa amri kwa polisi kuwapiga risasi watu wenye kuvunja sheria wakati wa maandamano.

14 Julai, 2025
Kikao cha mawaziri wa mazingira barani Afrika AMNCEN, chang’oa nanga jijini Nairobi
Mawaziri kutoka kote barani Afrika pamoja na wanaharakati wa mazingira na watunga sera wakutana kwa kikao cha ishirini cha mawaziri kujadili mazingira kuambatana na miaka arobaini tangu kuundwa kwake.


