29 Desemba, 2025

Trump na Netanyahu wakutana Florida kujadili Iran na mustakabali wa Gaza

Mazungumzo kati ya Marekani na Israel yanalenga kuamua mustakabali wa Gaza na usalama wa eneo lote.

230

29 Desemba, 2025

China yakemea vikali Israel kwa kutambua Somaliland, yatetea umoja wa Somalia

Hakuna nchi inayopaswa kuunga mkono au kuchochea kujitenga kwa taifa lingine.

229

29 Desemba, 2025

China yatoa onyo kwa Taiwan kupitia mazoezi makubwa ya kijeshi

Mazoezi haya ni onyo kali kwa vikosi vinavyotishia umoja wa China.

227

29 Desemba, 2025

Msiba wa reli Oaxaca: Treni yaanguka, watu 13 wafariki Mexico

Ajali hii ni msiba mkubwa kwa taifa letu.

226

29 Desemba, 2025

Marekani yatangaza msaada wa dola bilioni 2 kwa Umoja wa Mataifa huku ikipunguza misaada ya kigeni

Marekani imetangaza ahadi ya dola bilioni 2 kwa misaada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa.

223

29 Desemba, 2025

Uingereza yaweka masharti magumu ya viza kwa raia wa DRC kutokana na changamoto za urejeshaji wahamiaji

Uingereza imeamua kuweka vizuizi vya viza kwa raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na ushirikiano mdogo katika kurejesha wahamiaji haramu.

211

28 Desemba, 2025

Uingereza: Angola na Namibia zakubali kupokea wahamiaji waliorejeshwa

Angola na Namibia zimekubali kupokea wahamiaji waliorejeshwa baada ya Uingereza kutishia kuweka vikwazo vya viza.

215

26 Desemba, 2025

Watu 6 wameuwa Syria kufuatia shambulio la msikitini wakati wa swala ya Ijumaa

Kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Syria (SANA), mlipuko uliotokea ndani ya msikiti uliua watu sita na kujeruhi wengine 21. Iliongeza kuwa uchunguzi unaendelea kubaini chanzo cha mlipuko huo.

1766749530676 ey074s 726979aca802dff673be53885f84c8290e1be3e320677316fc05509f5d5ef8d5

25 Desemba, 2025

Papa Leo azungumzia madhila ya Gaza katika mahubiri ya Krismasi yake ya kwanza

Papa Leo XIV alitoa mfano wa moja kwa moja kuhusu simulizi za Krimasi na familia za watu wa Palestina zinazoishi kwenye mahema huku kukiwa na vita na wengine kuondoka katika makazi yao Gaza

5d544a13870fea1c6d6473333bff6ae4f094ffbcaa427d029eacaee969312f10

25 Desemba, 2025

Marekani yaelekeza jeshi kusimamia vikwazo vya mafuta dhidi ya Venezuela

“Serikali imeamua kuelekeza nguvu zake katika mbinu za kiuchumi badala ya kutumia nguvu za kijeshi kwa sasa,” ilielezwa.

201
Inapakia...