Uturuki yataka kuongeza muda wa wanajeshi wake Libya

“Kutokuwa na uwezo wa kufanya uchaguzi kumeongeza hali ya sintofahamu ya kisiasa na kuhatarisha utulivu nchini Libya,” ilisema hoja ya serikali ya Uturuki.
15 Desemba, 2025
Uturuki Yalaani Shambulio la Ndege Zisizo na Rubani Sudan, Walinda Amani 6 Wauawa

Uturuki imeweka bayana kuunga mkono juhudi za amani nchini Sudan baada ya shambulio la kigaidi lililouwa walinda amani wa Bangladesh sita.
15 Desemba, 2025
Turkish Red Crescent yawasadia waathirika wa mzozo Sudan kwa chakula tani 100

“Sudan inakabiliwa na mgogoro mkubwa wa kibinadamu, na zaidi ya watu milioni 10 wamekimbia makazi yao,” alisema Faruk Aksoy.
15 Desemba, 2025
Uturuki yalaani shambulio la kigaidi Bondi Beach, Sydney

Tunalaani vikali shambulio hili la kigaidi.
15 Desemba, 2025

Erdogan asema ujumbe wa Uturuki kuhusu Gaza ulimwacha athari kwa Trump

Türkiye yasukuma kufufuliwa kwa bomba la gesi la Trans-Caspian

Türkiye yaimarisha mfumo wa kuziendeleza startups kutoka hatua ya kuanzishwa hadi kushindana kimataifa

Emine Erdogan Asifu Ujasiri wa Waandishi wa Habari Wanawake Gaza

Uturuki na Hungary zasaini makubaliano mapya ya usalama na maendeleo ya kimkakati
8 Desemba, 2025
Türkiye yaadhimisha Siku ya Ukombozi wa Syria mwaka mmoja baada ya kuanguka kwa Assad
Ankara yatoa pongezi kwa wananchi wa Syria na kuunga mkono serikali mpya

8 Desemba, 2025
Ushirikiano wa ulinzi Uturuki–Misri wazaa gari la ardhini lisilo na dereva ‘Aqrab’
Havelsan ya Uturuki na shirika la AOI la Misri wazindua magari mapya yasiyo na wahudumu—Aqrab na Hamza-1—katika maonyesho ya EDEX 2025 mjini Cairo.

8 Desemba, 2025
Erdogan amwambia Maduro umuhimu wa kuendeleza mazungumzo ya wazi na Marekani
Viongozi wa Uturuki na Venezuela wajadili uhusiano wa pande mbili na masuala ya kikanda katika mazungumzo ya simu, Erdogan akitoa wito wa kupunguza mvutano na Washington.

4 Desemba, 2025
Erdogan na Stubb wajadili amani ya Ukraine, Gaza na ushirikiano wa kibiashara
“Uturuki inazingatia umalizwaji wa mchakato wa amani kati ya Ukraine na Urusi.” — Rais Recep Tayyip Erdogan

3 Desemba, 2025
Uturuki Yaweka Rekodi ya Ukuaji wa 3.7%, Utalii Kufikia $50 Bilioni – Erdogan
Rais asema uchumi, utalii, ushirikiano na Afrika na sekta ya ulinzi vinaendelea kupaa.

2 Desemba, 2025
Türkiye yazindua chombo cha kwanza cha ndani cha kusafirisha satelaiti angani
Türkiye kufanya jaribio la kwanza duniani la injini mseto angani.

2 Desemba, 2025
Erdogan aonya mashambulizi ya Bahari Nyeusi kutishia usalama wa urambazaji
Erdogan: Mashambulizi dhidi ya meli za mafuta ni tishio kwa usalama wa Bahari Nyeusi.

1 Desemba, 2025
Uchumi wa Uturuki Wakua kwa Asilimia 3.7 Katika Robo ya Tatu ya Mwaka
Takwimu za TurkStat zinaonyesha pato la taifa la Uturuki kufikia dola bilioni 409.6 kati ya Julai na Septemba, huku ukuaji ukitarajiwa kubaki thabiti mwaka mzima.

1 Desemba, 2025
Fidan kuzuru Iran kujadili usalama, biashara na migogoro ya kikanda
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan, atafanya mazungumzo ya ngazi ya juu mjini Tehran ili kuimarisha ushirikiano wa kitaasisi, kuongeza biashara na kushughulikia mivutano ya kikanda kuanzia Gaza hadi Caucasus.

1 Desemba, 2025
KIZILELMA Yaweka Rekodi ya Dunia: UAV ya Kwanza Kurusha Kombora cha Anga-kwa-Anga kwa Mafanikio
Bayraktar KIZILELMA yagonga lengo la ndege ya majaribio kwa kombora la GOKDOGAN katika jaribio la kihistoria kwenye pwani ya Sinop, ikiimarisha uwezo wa kivita wa anga wa Uturuki.



