Marekani imeilipa Eswatini dola milioni 5.1 ili ipokee wahamiaji waliofukuzwa nchini humo kama sehemu ya mpango mpya wa kuwahamishia wahamiaji katika nchi za tatu.
Kwa mujibu wa taarifa za serikali, watu wanne zaidi waliwasili nchini Eswatini Machi 12, 2026, na kufanya jumla ya wahamiaji waliohamishwa kufikia tisa.
Miongoni mwa waliowasili hivi karibuni ni watu kutoka Somalia, Sudan na Tanzania.
CHANZO: TRT Afrika














