21 Januari, 2026

Mafuriko yaua watu watano Tunisia na Algeria

Mvua kubwa na mafuriko yameua watu watano Tunisia na Algeria.

326

20 Januari, 2026

Katibu Mkuu wa kwanza wa EAC Edwin Mtei kuzikwa Januari 24

Kulingana na Mashinda Mtei, ambaye ni mtoto wa Gavana huyo wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Mzee Mtei anatarajiwa kupumzishwa katika kata ya Ambureni, eneo la Tengeru, Arusha, Jumamosi ya Januari 24.

9d5e22355e874f7db3bde7985d8b39b7314596b4310b3cfed81a130421c23e45

20 Januari, 2026

Tanzania yapanda juu nafasi mbili viwango vya ubora wa soka vya FIFA

Kulingana na orodha hiyo ya ubora ya FIFA, Tanzania imevuna jumla ya alama 1186.14 kutoka alama 1181.22, ilizokuwa nazo awali.

fbcedcc4e58cb6f04fa85a342786f2c00592ea8e155c89e76e42742b29a3f085

20 Januari, 2026

Sisi akutana na Trump Davos kujadili Gaza na mzozo wa Bwawa la Nile

Huu utakuwa mkutano wa kwanza wa viongozi hawa wawili tangu Marekani itangaze mpango wa kumaliza vita vya Gaza.

321

20 Januari, 2026

Mfalme Mohammed VI ajiunga na “Baraza la Amani” lililoanzishwa na Trump kama mwanachama mwanzilishi

Baraza la Amani litachangia juhudi za amani Mashariki ya Kati na kupendekeza mbinu mpya za kutatua migogoro duniani.

315

20 Januari, 2026

Afya ya Besigye yazua wasiwasi, chama chake chataka hatua za haraka

Besigye alipelekwa usiku katika kituo cha afya jijini Kampala.

320

20 Januari, 2026

Somalia na Qatar zasaini makubaliano mapya ya ushirikiano wa kijeshi

Makubaliano mapya yanalenga kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na uratibu wa kiusalama.

315

20 Januari, 2026

ICC: Ushahidi wa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu Darfur, Sudan

“Ushahidi unaonyesha mifumo ya ukatili El Geneina 2023 imejirudia Al Fasher 2025.” — ICC

316

20 Januari, 2026

Jeshi la DRC lachukua tena udhibiti wa Uvira baada ya M23 kujiondoa

Jeshi la DRC limechukua tena udhibiti wa mji wa Uvira baada ya M23 kujiondoa.

317

20 Januari, 2026

Madagascar: Wanasiasa wawili wa karibu na Rajoelina wakabiliwa na mashtaka ya kuhatarisha usalama wa taifa

“Marie Michelle Sahondrarimalala alipelekwa gerezani Avaradrano baada ya kuhojiwa na polisi wa kiuchumi na kuwasilishwa mbele ya Mahakama Kuu.”

314
Inapakia...