18 Desemba, 2025

Vyuo Vikuu Sita vya Uturuki Vyaingia 100 Bora GreenMetric 2025

Vyuo vikuu sita vya Uturuki vimeorodheshwa miongoni mwa taasisi 100 bora duniani kwa uendelevu katika viwango vya UI GreenMetric 2025.

148

17 Desemba, 2025

Somalia na Uturuki Zasaini Makubaliano ya Kuimarisha Sekta ya Uvuvi

Somalia na Uturuki zimeingia makubaliano ya kimkakati ya ushirikiano katika sekta ya uvuvi, yakilenga kukuza ajira, kulinda rasilimali za baharini na kuimarisha biashara ya kimataifa.

149

15 Desemba, 2025

Uturuki yataka kuongeza muda wa wanajeshi wake Libya

“Kutokuwa na uwezo wa kufanya uchaguzi kumeongeza hali ya sintofahamu ya kisiasa na kuhatarisha utulivu nchini Libya,” ilisema hoja ya serikali ya Uturuki.

ef6d84ba80254eb16f90f3c70163b2c69cd44210e67e4e6aeacd81d508325cdd

15 Desemba, 2025

Uturuki Yalaani Shambulio la Ndege Zisizo na Rubani Sudan, Walinda Amani 6 Wauawa

Uturuki imeweka bayana kuunga mkono juhudi za amani nchini Sudan baada ya shambulio la kigaidi lililouwa walinda amani wa Bangladesh sita.

144 1

15 Desemba, 2025

Turkish Red Crescent yawasadia waathirika wa mzozo Sudan kwa chakula tani 100

“Sudan inakabiliwa na mgogoro mkubwa wa kibinadamu, na zaidi ya watu milioni 10 wamekimbia makazi yao,” alisema Faruk Aksoy.

143 1

15 Desemba, 2025

Uturuki yalaani shambulio la kigaidi Bondi Beach, Sydney

Tunalaani vikali shambulio hili la kigaidi.

131

15 Desemba, 2025

Erdogan asema ujumbe wa Uturuki kuhusu Gaza ulimwacha athari kwa Trump

Ujumbe wa Uturuki kuhusu Gaza ulimgusa Rais Trump.

130

11 Desemba, 2025

Türkiye yasukuma kufufuliwa kwa bomba la gesi la Trans-Caspian

Ankara yashinikiza kufufuliwa kwa bomba la kusafirisha gesi ya Turkmenistan kwenda Ulaya, huku nchi za Turkic zikipanua ushirikiano katika gesi, umeme na nishati mbadala.

122

11 Desemba, 2025

Türkiye yaimarisha mfumo wa kuziendeleza startups kutoka hatua ya kuanzishwa hadi kushindana kimataifa

Waziri Kacir asema sera rafiki kwa ubunifu zimechochea ongezeko la “turcorns” na ukuaji wa sekta za teknolojia

114 1

11 Desemba, 2025

Emine Erdogan Asifu Ujasiri wa Waandishi wa Habari Wanawake Gaza

Asema wanahabari hao wanaendeleza “sauti ya ukweli” licha ya hatari za vita.

111
Inapakia...