Türkiye inaongeza msaada kwa startups kutoka hatua ya kuanzisha hadi kupanuka kimataifa. Waziri Kacir amesema kuwa sera rafiki kwa ubunifu zimewezesha kuibuka kwa “turcorns” 7. Türkiye pia imeongeza matumizi ya R&D hadi dola bilioni 20. Mkutano wa Take Off Summit umeleta pamoja startups 500 na wawekezaji 250 kutoka zaidi ya nchi 40.
CHANZO: TRT Afrika














