Helikopta ya Uokoaji Yaanguka Mlima Kilimanjaro

“Ajali hii imetokea wakati helikopta ikiwa kwenye misheni ya kuokoa maisha ya binadamu, tukio linalosikitisha sana,” alisema Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa.
25 Desemba, 2025
Watu 11 wakamatwa kufuatia mauaji ya risasi katika mgahawa Afrika Kusini

“Tume fanikiwa kuwakamata washukiwa 11 wanaohusishwa moja kwa moja na shambulio la risasi lililoua watu tisa Bekkersdal,” alisema Naibu Kamishna wa Polisi wa Mkoa, Meja Jenerali Fred Kekana.
25 Desemba, 2025
Mauritania yazindua warsha ya pili ya ufundishaji wa lugha ya Kituruki

Ufundishaji wa lugha ya Kituruki ni nyenzo muhimu ya kukuza maelewano ya kielimu na kitamaduni kati ya mataifa, na ni daraja la kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu kati ya Türkiye na Mauritania.
25 Desemba, 2025
Bunge la Algeria lapitisha sheria inayoharamisha ukoloni wa Ufaransa

Sheria hii inatamka wazi kuwa ukoloni wa Ufaransa nchini Algeria ulikuwa uhalifu wa dola uliokiuka haki za binadamu, utu na maadili ya kimataifa.
25 Desemba, 2025

Hakan Fidan akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Niger jijini Ankara

Watu kadhaa wauawa baada ya mlipuko katika msikiti jimboni Borno

Tembo wauwa watu wanne nchini Kenya

RSF yatangaza kudhibiti maeneo mawili katika jimbo la Darfur Kaskazini, Sudan

Waziri wa Ulinzi wa Uturuki awafariji maafisa wa Libya na familia zao jijini Ankara
24 Desemba, 2025
Rais wa Uturuki atuma salamu za rambirambi kwa Waziri Mkuu wa Libya baada ya ajali ya ndege
Tunashiriki huzuni na majonzi ya serikali na wananchi wa Libya kufuatia ajali hii ya kusikitisha iliyogharimu maisha ya Mkuu wa Majeshi ya Libya na waliokuwa wakisafiri naye.

24 Desemba, 2025
Uturuki yaendelea na uchunguzi katika eneo la ajali ya ndege iliyosababisha kifo cha mkuu wa jeshi la Libya
Operesheni za utafutaji na uchunguzi zimeimarishwa tangu alfajiri baada ya hali mbaya ya hewa kuathiri shughuli usiku.

24 Desemba, 2025
Libya yatangaza maombolezo ya siku tatu baada ya kifo cha mkuu wa jeshi katika ajali ya ndege
“Serikali ya Umoja wa Kitaifa inatoa rambirambi zake za dhati na huruma kubwa kwa familia za marehemu na kwa wenzao katika vikosi vya ulinzi,” ilisema taarifa ya serikali.

24 Desemba, 2025
DRC yaanza tena kuuza kobalti baada ya kusitisha kwa miezi 10
“Tangu Ijumaa iliyopita, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeanza tena kuuza nje kobalti yake,” alisema Waziri wa Fedha, Doudou Fwamba.

24 Desemba, 2025
Haftar atoa rambirambi kufuatia kifo cha mkuu wa jeshi la Libya katika ajali ya ndege
“Tunatoa rambirambi zetu za dhati kwa familia ya marehemu na kwa wananchi wote wa Libya kufuatia msiba huu mzito,” ilieleza taarifa ya Khalifa Haftar.

23 Desemba, 2025
Shirika la Uturuki la TİKA laanzisha mradi Msumbiji kuwawezesha wanawake waliokumbwa na vurugu
Mradi huu unalenga kuwapa wanawake walionusurika vurugu fursa ya kujitegemea kiuchumi na kurejea kikamilifu katika maisha ya kijamii.

23 Desemba, 2025
Muungano wa Sahel wazindua televisheni ya pamoja kupambana na taarifa potofu
“Televisheni ya AES ni chombo cha kimkakati cha kupambana na upotoshaji wa taarifa na kuimarisha simulizi ya kweli ya kanda ya Sahel,” ilisema taarifa ya pamoja ya muungano wa AES.

23 Desemba, 2025
Marekani yaongeza safari za ndege za kijasusi juu ya Nigeria kufuatia matamshi ya Trump
“Katika wiki za hivi karibuni tumeona kurejea kwa safari za ndege za ujasusi na upelelezi juu ya Nigeria,” alisema mchambuzi wa masuala ya usalama wa Afrika, Liam Karr.

23 Desemba, 2025
Afrika Kusini yachapa Angola 2-1 na kuvunja ukame wa ushindi wa miaka 10 katika AFCON 2025
“Huu ni ushindi muhimu sana kwetu, hasa baada ya kipindi kirefu bila kuifunga Angola,” ilieleza kauli kutoka upande wa Afrika Kusini.

22 Desemba, 2025
Waziri wa uvuvi wa Somalia apongeza ushirikiano wa kimkakati na Uturuki
Somalia, Uturuki waimarisha uhusiano katika sekta ya uvuvi kwa kutia saini makubaliano mapya


