Gabon yatangaza kufunga mitandao ya kijamii kwa muda

Serikali ya Gabon imepiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii, ikisema kuwa inahusika na kuchochea migogoro na migawanyiko ndani ya jamii.
18 Februari, 2026
Nigeria yaonya raia wake dhidi ya kujisajili kupigana vita nje ya nchi

Wizara ya mambo ya nje inasema baadahi ya raia wa Nigeria walipelekwa katika uwanja wa vita baada ya kulaghaiwa kutia saini mikataba ya kijeshi.
17 Februari, 2026
Somalia kuanza kutoa hati za kusafiria za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Hatua hii ni sehemu ya kujumuisha Somalia katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.
17 Februari, 2026
Waziri Mkuu wa Somalia apongeza uchimbaji mafuta wa ‘kihistoria’ baharini na Uturuki

Barre amepongeza mpango huo wa uchimbaji na Uturuki kama chachu ya ukuaji wa Somalia
16 Februari, 2026

Somalia na Tanzania yakubaliana kuhusu ziara bila viza, na kupata viza mtu anapowasili

Wakazi wa Morocco warejea katika mji uliokumbwa na mafuriko

RSF yashambulia hospitali Sudan, na kuwaua watu kadhaa

Watu 59 wafariki kufuatia Kimbunga Gezani huku wengine 16000 wakikosa makazi nchini Madagascar

Nigeria yapokea msaada wa kijeshi kutoka Marekani
16 Februari, 2026
Abiy Ahmed: Ethiopia haina nia ya kupanua mipaka
Waziri Mkuu asema upatikanaji wa bahari na maendeleo ya Nile ni vipaumbele vya taifa

16 Februari, 2026
Mgomo wa KAWU wasababisha msongamano wa safari za ndege Nairobi
Wafanyakazi wadai nyongeza ya mishahara na makubaliano mapya

16 Februari, 2026
Sudan: Shambulio la droni la RSF yauwa watu watatu
Hospitali ya Al-Mazmoum yashambuliwa, raia saba wajeruhiwa

16 Februari, 2026
Jeshi la Mali laua magaidi kumi katika operesheni Douentza
FAMa yasema hakuna juhudi zitakazozuiwa kulinda raia na mali zao

16 Februari, 2026
Nigeria na Angola ziondoa vizuizi vya viza kwa pasipoti rasmi
Makubaliano mapya yaonyesha msukumo wa kidiplomasia barani Afrika

16 Februari, 2026
Misri na Libya zakazia ushirikiano wa usalama
Haftar apokea ujumbe wa rais wa Misri katika mazungumzo ya Benghazi

16 Februari, 2026
Rais wa Ghana atoa wito kwa AU kutambua madhila ya kihistoria ya utumwa
John Mahama asema ni wakati wa kukiri ukweli wa kihistoria na kuanzisha mchakato wa haki ya marekebisho

14 Februari, 2026
Umoja wa Afrika wataka kukomeshwa kwa mauaji ya Wapalestina
Mwenyekiti huyo wa Tume ya Umoja wa Afrika, pia alitumia fursa hiyo kuangazia migogoro mbalimbali barani Afrika

14 Februari, 2026
China kuziondolea ushuru nchi za Afrika ifikapo mwezi Mei
Hata hivyo, msamaha huo hautoihusu Eswatini, ambayo ina uhusiano wa kidiplomasia na Taiwan.

13 Februari, 2026
Motsepe: AFCON 2027 itafanyika Afrika Mashariki na si kwingineko
Michuano hiyo inaandaliwa kwa pamoja na Tanzania, Kenya na Uganda.




