Jeshi la Somalia lawaua viongozi wa Al Shabaab katika operesheni mahsusi

Wanachama 13 wa Al Shabaab wakiwemo viongozi 5 wauawa Shabelle.
2 Februari, 2026
Sudan yarudisha safari za ndege za ndani baada ya miaka ya vita

Sudan yarudisha safari za ndege za ndani baada ya kusimama tangu 2023.
2 Februari, 2026
TPLF yakaribisha wito wa mazungumzo huku kukiwa na vurugu katika eneo la Tigray nchini Ethiopia

Katika barua kwa Umoja wa Afrika, TPLF ilisema iliidhinisha “wito wa kujizuia na mazungumzo.”
1 Februari, 2026
Jaji wa Marekani azuia kwa muda kusitishwa kwa ulinzi wa kufukuzwa kwa Waethiopia

Serikali ilitoa notisi ya siku 60 tu ya kusitishwa licha ya migogoro na ukosefu wa utulivu unaoendelea katika baadhi ya maeneo ya Ethiopia – masharti ambayo yalihalalisha kuulinzi wa TPS kwao mwaka wa 2022.
31 Januari, 2026

Ajali ya mgodi Rubaya DRC: Zaidi ya 200 wapoteza maisha

Umoja wa Afrika waapa kuunga mkono Niger baada ya shambulio la uwanja wa ndege

Israel yamfukuza balozi wa Afrika Kusini Palestina

Serikali za Afrika zinaangazia mifumo ya fedha ya Kiislam baada ya mafanikio ya sukuk nchini Benin

Afrika Kusini yamfukuza mjumbe wa Israel kwa kumkashifu Rais Ramaphosa
30 Januari, 2026
Air Tanzania yazindua safari za Ghana
Katika tukio hilo, ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania, ilitua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka jijini Accra, na kukaribishwa na salamu ya maji, maarufu kama ‘Water Salute’.

30 Januari, 2026
Somalia yazuia ndege ya Israel kupita katika anga yake
Somalia imekataa kuhuisha kibali cha kuruka juu ya anga lake kwa kampuni ya ndege ya Arkia Israeli Airlines, ambayo kwa kawaida hutumia anga la Somalia katika safari zake za moja kwa moja kati ya Tel Aviv na Bangkok.

30 Januari, 2026
Mkuu wa Majeshi wa Uganda aiomba radhi Marekani
Mkuu wa Majeshi nchini Uganda, Muhoozi Kainerugaba aiomba radhi Marekani kufuatia ‘tweets’ zake za awali.

30 Januari, 2026
Mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa DRC Patrice Emery Lumumba afariki dunia
Kifo chake kinakuja wakati kesi za mauaji ya Patrice Lumumba zikiwa bado zinaendelea nchini Ubelgiji.

30 Januari, 2026
Kiongozi wa Guinea-Bissau N’Tam apandishwa cheo cha juu zaidi cha jeshi
Meja Jenerali N’Tam sasa ana nyota nne badala ya mbili.

30 Januari, 2026
Burkina Faso yafuta vyama vyote vya kisiasa kwa madai ya Kusababisha ‘mgawanyiko’
Waziri wa Utawala Emile Zerbo alisema upigaji marufuku wa vyama hivyo ni baada ya mamlaka kubaini kuwa vyama vimekiuka miongozo iliyowaanzisha.

29 Januari, 2026
Shirika la Umoja wa Mataifa linasema watu wengine 285 wameachwa bila makazi Kordofan Kusini Sudan
Ukosefu wa usalama kumefanya familia kadhaa kukimbia kutoka eneo la Kordofan Kusini

29 Januari, 2026
Afrika Kusini yapendekeza mfuko mpya wa mageuzi kusaidia biashara za Weusi
Serikali ya Afrika Kusini yapendekeza marekebisho ya B-BBEE.

29 Januari, 2026
ECOWAS yaiondolea vikwazo Guinea
Jumuiya hiyo iliiwekea Guinea vikwazo kufuatia mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2021.

29 Januari, 2026
CAF yashusha rungu zito kwa Morocco na Senegal baada ya fujo za katika Fainali ya AFCON 2025
Kupitia Kamati yake ya Nidhamu CAF imetangaza adhabu kali dhidi ya timu za taifa za Morocco na Senegal kufuatia matukio yaliyotokea katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 uliyofanyika Januari 18, 2026.




